Wednesday, May 19, 2010

Karibu Bibiana Mpanduji Memorial Hostel!

Bibiana Mpanduji Memorial Hostel ipo kwa ajili ya kukusaidia mwanafunzi kusoma katika mazingira kama ya nyumbani. Tunaelewa ili mwanachuo afanye vizuri darasani, anatakiwa aishi mazingira kama mtu mzima na sio kama mtoto wa shule ya sekondari. Mazingira hayo yanapatikana BMM Hostel!Karibu

No comments:

Post a Comment